NAFASI ZA MASOMO SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA UFUNUO 2022.

0
538

Uongozi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Ufunuo inawatangazia wadau wote nafasi za masomo kidato cha kwanza na nafasi za kuhamia 2022.

Shule ni ya wasichana na bweni pekee. Tunafundisha masomo ya sayansi na sanaa, aidha walimu bora kabisa wapo.

Shule inapatikana Mbeya kata ya Inyala, kijiji cha Shamwengo stendi barabara ya kuelekea Dar es salaam.

Jipatie fomu ya kujiunga kupitia simu no. 0762521343.

Ufunuo Girls’ secondary school invites all parents, guardians, and other educational stakeholders to apply for form one academic year 2022.

The school is for the single sex (girls only), we science and art subject, also qualified teachers are available.

There is also an opportunity available for transferred students from various schools for other classes.

The school available in Mbeya region within Inyala ward at Shamwengo village.

To get joining instructions form let us communicate through 0762521343.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here