Fadhila na Sifa za Bikira Maria
Sh5,000
Kitabu hiki kinaeleza kinagaubaga juu ya chimbuko, maana, kazi ya Sifa na Fadhila mbalimbali za mama yetu Bikira Maria, ambae pia ni mama wa Mungu.
Kinatoa ushahidi kutoka kwenye biblia na mapokeo ya kanisa kuhusiana na ukuu wa Mama huyu mbarikiwa sana.
Author: Fr. Dr. Faustin M. Kamugisha
Reviews
There are no reviews yet.