Home Shop BOOKS Life Matters Huruma ya Mungu ni kwa Wote (Toleo la Pili)

Huruma ya Mungu ni kwa Wote (Toleo la Pili)

Sh10,000

Fr. Innocent Bahati anatualika kuifahamu, kuiamini na kuitegemean Huruma Kuu ya Mungu katika maisha yetu ya kila siku, kwani huponya roho na mwili.

Anazidi kutueleza kuwa kupitia ibada ya Huruma ya Mungu, watu hupata amani ya nafsi inayopelekea kuponya majeraha yao ya nafsi kwa msamaha.

 

Author: Fr. Innocent Bahati, OFMCap

Publisher: Green Earth Paper Productions Limited

Additional information

Dimensions 14.5 × 1.8 × 20.8 cm

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Huruma ya Mungu ni kwa Wote (Toleo la Pili)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *