Home Shop BOOKS Devotional Books Ibada kwa Heshima ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu

Ibada kwa Heshima ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu

Sh1,500

Kitabu hiki kidogo kina mkusanyiko wa sala mbalimbali kwa heshima ya Mtakatifu Mikaeli Malaika Mkuu.

Mt. Mikaeli ndiye mlinzi na mwangalizi wa Kanisa Katoliki, taifa la wayahudi, Vatican City, Ujerumani, Ufaransa, Ukraine, Ufilipino, na miji mbalimbali.

Pia ni msimamizi wa askari polisi, jeshi, zimamoto, wagonjwa na watoa huduma ya kwanza.

Additional information

Dimensions 10.5 × 14.5 cm

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ibada kwa Heshima ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *