Additional information
Dimensions | 14.5 × 21 cm |
---|
Sh4,500
Kitabu hiki kinatoa mwangaza juu ya maana, historia na umuhimu wa Sakramenti takatifu ya Kitubio.
Mwandishi anaitambulisha kama “Chemichemi ya Huruma ya Mungu” kwani kupitia sakramenti hii ndipo mwanadamu anatakaswa na kuunganishwa tena na baraka za Mungu bila kujali dhambi alizokua nazo hapo kabla.
Author: Pd. Stephano Kaombwe
Publisher: Nemap Printing Technology
Dimensions | 14.5 × 21 cm |
---|
Reviews
There are no reviews yet.