Mafanikio Yoyote Yana Sababu; Lisilowezekana Linawezekana
Sh10,000
Mwandishi mahiri kabisa Fr. Kamugisha anatualika kusoma kitabu hiki kizuri chenye kudadafua kinagaubaga juu ya sababu 42 zinazoweza kumfanya mtu yeyote awaye yule aweze kufanikiwa.
Baadhi ya sababu hizo ni Kupanga, Ubunifu, Ufikiri Makini, Bidii ya Kazi, Kuwa na bajeti, Kuweka akiba, na nyingine nyingi kwa mifano hai.
Author: Fr. Faustin M. Kamugisha.
Reviews
There are no reviews yet.