Home Shop BOOKS Mawasiliano na Mungu kwa Njia ya Sala; Novena na Sala Mbalimbali

Mawasiliano na Mungu kwa Njia ya Sala; Novena na Sala Mbalimbali

Sh3,500

Kitabu hiki kinamkusanyiko wa sala na novena mbalimbali kupitia watakatifu Monika, Martini wa Porres, Filomena, Yohane wa XXII, Antoni wa Padua, n.k., kwa ajili ya mahitaji na nyakati mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku.

Description

Pd. Efrem Festo Msigala, OSA  wa Shirika la Mt. Agustino, Tanzania anatualika kukitumia kitabu hiki kizuri chenye mkisanyiko mkubwa wa sala za watakatifu mbalimbali ili kupata msaada wa maombezi yao katika hali na nyakati mbalimbaliza maisha yetu. Mfano:

  • Kupata kitu kilichopotea,
  • Matatizo ya kiafya,
  • Ndoto za ajabu,
  • Kupata mchumba mwema,
  • Kutafuta kazi,
  • Kuwaombea wajawazito na wanaojifungua,
  • Kuwaombea vijana na watoto,
  • Kwa ajili ya biashara mpya,
  • Kutambua wito, na kadhalika.

Pia ameongeza sala kwa Watumishi wa Mungu Sr. M. Bernadeta Mbawala, OSB., na Julius Kambarage Nyerere.

 

Kwa bei ya jumla ni Tshs. 3,000@ (kuanzia vitabu 50). Karibu!

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mawasiliano na Mungu kwa Njia ya Sala; Novena na Sala Mbalimbali”

Your email address will not be published. Required fields are marked *