Home Shop BOOKS Naikaribishaje Huruma ya Mungu

Naikaribishaje Huruma ya Mungu

Sh7,000

Kitabu hiki kinaeleza namna bora za kufanya ,maandalizi ili kuipokea Huruma ya Mungu na kuongea na Mungu kwa njia ya sala kama njia moja wapo ya kumshukuru Yeye kwa kutujalia Huruma yake.

Ni Huruma hii Kuu ndiyo inatufanya tuendelee kupokea neema mbalimbali kutoka Kwake na kutungoza mbinguni baada ya maisha ya hapa duniani.

 

Author: Pd. Zakaria R. Kashinje, OSA

Additional information

Dimensions 14.5 × 20 cm

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Naikaribishaje Huruma ya Mungu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *