Home Shop BOOKS Life Matters Nitapungukiwa na Nini!

Nitapungukiwa na Nini!

Sh4,000

Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu…”  Zaburi 23: 1-6.

Kitabu hiki kidogo kinatueleza umuhimu wa kumtegema Mungu katika maisha yetu kwani yeye ni muweza wa yote, hvyo hatutakosa lolte kwake, wala hatatuacha mabaya yatufike.

 

Author: Maria Matalina

Publisher: Benedictine Publications Ndanda – Peramiho

 

Additional information

Dimensions 14.5 × 20 cm

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Nitapungukiwa na Nini!”

Your email address will not be published. Required fields are marked *