Sale!

Novena kwa Mtakatifu Mkuu Mikaeli

Sh3,000 Sh2,500

Novena yenye nguvu sana tunapokua tunaomba msaada katika magonjwa na matatizo mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku.

Categories: ,

Mtakatifu Mikaeli Malaika Mkuu, Utuombee na kutusaidia katika vita vyetu huku duniani dhidi ya mwovu shetani.

Kitabu hiki kidogo kina mjumuiko wa sala mbalimbali zenye msaada mkubwa katika vita hivi kama vile:

  • Novena ya Siku tisa (9),
  • Rozari ya Mtakatifu Mikaeli Malaika Mkuu,
  • Kuwekwa Wakfu kwa Mungu,
  • Maombi kwa Kwaya Tisa za Malaika
  • Mazungumzo na Mt. Rafaeli Malaika Mkuu
  • Novena kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu ya Padre Pio.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Novena kwa Mtakatifu Mkuu Mikaeli”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
Close
Close