Home Shop PRIMARY SCHOOL PRODUCTS School bags for Pre-Primary and Secondary schools
5% off!

School bags for Pre-Primary and Secondary schools

Sh40,000

Begi za shule kwa wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari, ni begi zinazo tengenezwa kwa ubora wa hali ya juu sana na Kampuni la VEMA COMPANY LIMITED. Ni rahisi kupata begi lenye picha yake, jina lake, katuni au kitu anachokipenda ndani ya siku saba popote pale ulipo baada ya kupokea oda yako.

Description

MABEGI KWA WANAFUNZI WA NASARI, SHULE YA MSINGI HADI SEKONDARI.

Begi za shule kwa wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari, ni begi zinazo tengenezwa kwa ubora wa hali ya juu sana na Kampuni la VEMA COMPANY LIMITED. Ni rahisi kupata begi lenye picha yake, jina lake, katuni au kitu anachokipenda ndani ya siku saba popote pale ulipo baada ya kupokea oda yako.

Kwanini Uchague begi kutoka VEMA COMPANY LIMITED 

  1. Begi limetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu
  2. Begi linamwezesha mwanafunzi kupenda begi lake
  3. Humuhamasisha mwanafunzi kwenda shule
  4. Sio rahisi kuibiwa na hata likipotea ni rahisi kupatikana na pia litamsaidia hata pale akipatwa na jambo lolote kuweza kumfikia mzazi kwa haraka.
  5. Tuna zawadi ya begi dogo la chupa la maji bure kwa wanafunzi wa NASARI hadi darasa la NNE ili kuweka chupa yake ya maji hivyo HAKUNA KULOANISHA DAFTARI TENA.

GHARAMA ZA BEGI

  • Nasari mpaka darasa la Nne gharama zake ni Tsh. 40,000/=
  • Darasa la Tano hadi Sekondari ni Tsh. 45,000/=

Wasiliana nasi Kupitia 0762521343 ntakuwezesha kulipata begi ndani ya siku saba kwa uaminifu mkubwa.

KARIBU KWA BEI YA JUMLA NA REJA REJA.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “School bags for Pre-Primary and Secondary schools”

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!