Home Shop BOOKS Life Matters Shajara ya Faraja; Kila Siku Pamoja na Yesu (Mwezi MARCH)

Shajara ya Faraja; Kila Siku Pamoja na Yesu (Mwezi MARCH)

Sh2,000

“Mwenye kipaji cha kufariji na afariji” (Warumi 12:8).

Fr. Faustin M. Kamugisha, ameitikia wito huu kwa kuandaa mfululizo wa machapisho yatokayo kila mwezi yakiwa na tafakari nzuri ya masomo ya kanisa ya kila siku.

Hili ni toleo la mwezi Machi, ambapo ndani yake kuna masomo ya kuanzia Tarehe 1 – 31, Machi, 2019, katika namna ambayo itakufariji na kukutia nguvu ya kusonga mbele katika maisha yako.

 

Author: Fr. Dr. Faustin Kamugisha.

Out of stock

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Shajara ya Faraja; Kila Siku Pamoja na Yesu (Mwezi MARCH)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *