Home Shop BOOKS Diaries SHAJARA YA FARAJA; Toleo la Mwezi Aprili

SHAJARA YA FARAJA; Toleo la Mwezi Aprili

Sh2,000

“Usikate tamaa, sisi ni watu wa Pasaka, na wimbo wetu ni aleluya” (Mt. Papa Yohane Paulo wa II).

Shajara ya Faraja; Kila Siku Pamoja na Yesu Toleo la Mwezi Aprili ni mfululizo wa shajara zenye tafakari nzuri sana kutoka kwa Fr. Dr. Faustin Kamugisha.

Katika toleo hili mwandishi anatualika kutafakari kwa undani na kwa jichopana mistari mbalimbali ya biblia iliyo katika masomo ya misa ya Mwezi Aprili, 2019.

Kwa matoleo mengine ya nyuma just click here

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “SHAJARA YA FARAJA; Toleo la Mwezi Aprili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *