Home Shop BOOKS Life Matters Sura ya Upendo ni Sura ya Msalaba

Sura ya Upendo ni Sura ya Msalaba

Sh5,000

Matatizo na changamoto zote tunazopitia katika maisha yetu ni misalaba ambayo Mungu ameiruhusu tuichukue ili kwa kufaniwa katika hiyo tuuone ukuu wa upendo wa Mungu. Na Mungu hampatii mtu changamoto inayozidi uwezo wa mhusika katika kuitatua.

Mwandishi anaeleza kwa mifano kuntu uhusiano wa karibu uliopo kati ya msalaba na upendo.

 

Author: Fr. Dr. Faustin Kamugisha

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sura ya Upendo ni Sura ya Msalaba”

Your email address will not be published. Required fields are marked *